Waziri Mkuu Majaliwa ametoa maagizo sita ya msisitizo kwa Watendaji Serikalini.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. trilioni moja kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa riba ya asilimia tatu ili mabenki na taasisi hizo zitoe mikopo kwa riba isiyozidi asilimia 10. “Serikali imeendelea kulegeza masharti ya uanzishwaji wa ofisi za wakala wa mabenki, kushusha riba inayolipwa kwa akaunti za